Pageviews

Saturday, December 14, 2013

Africa Lyrics: Still the One - Sauti SolVerse 1
Another one for the ladies, sauti sol
Yeah yeah baby
Touch me baby
Tulipokuwa prymo,ulisema umeninoki
Nikakuseti kwa odijo
Tukaingia seco,adole zikanipanda
Nikakubusu  Kwenye bus stop yeah
Tukaingia campo,nikasema nakupenda
Ukasema unasoma ah
Bado nakuona daily looking fly nakufeel even more uuuuh
I wonder what I’m gonna do if you ever walk out the door

Chorus
Bado we ni Yule Yule, bado nakufeel baby vile vile
Bado we ni Yule Yule,bado nakufeel baby vile vile
Ukiwa mbali nakonda sana
Nikikuona nina pagawa
Bado we ni Yule Yule, bado nakufeel baby vile vile
Love is a strong ting(strong ting,strong ting)
My love is a strong ting(strong ting,strong ting)

Verse 2
Tukamaliza campo, nikaanza kuimba
Ukapata kajobo, downtown
Tukapatana tao, you were looking very sexy
Tukawasha kavodo, ukawa tipsy kidogo
Ukasema unanipenda na huwezi kuniacha
Tangu zamani ulinipenda ila hukuweza sema
Ukasema unanipenda na huwezi kuniacha
Tangu zamani ulinipenda ila hukuweza sema
Na bado nakuona daily,looking fly nakufeel even more
I wonder what I’m gonna do if you ever walk out the door

Chorus
Bado we ni Yule Yule, bado nakufeel baby vile vile
Bado we ni Yule Yule,bado nakufeel baby vile vile
Ukiwa mbali nakonda sana
Nikikuona nina pagawa
Bado we ni Yule Yule, bado nakufeel baby vile vile
Love is a strong ting(strong ting, strong ting)
My love is a strong ting(strong ting,strong ting)

Bridge
Nikaimba lazizi(lazizi wangu we)
Nikaimbia polisi
Na nikaimba soma soma soma
Uuh yeah na nikasema, popote ulipo mi nakuwaza mama
I’m a,I’m a,I’m a gentleman
I’m a,I’m a,I’m a gentleman
Na bado nakuona daily,looking fly nakufeel even more
I wonder what I’m gonna do if you ever walk out the door
Bado we ni Yule Yule, bado nakufeel baby vile vile
Bado we ni Yule Yule,bado nakufeel baby vile vile
Ukiwa mbali nakonda sana
Nikikuona nina pagawa
Bado we ni Yule Yule, bado nakufeel baby vile vile
Ulopa ngoma..
Pa pa pa pa pa yeah..
Na sasa uko fifty, bado unakaa fiti
Yeah you can gerrrit

No comments:

Post a Comment

Please leave your comment here...