Pageviews

Friday, April 1, 2011

Ug Lyrics - Usiende Mbali [Juliana Ft. Bushoke]

Verse 1
Beka unavyo beka kama mtoto
Natakubembeleza mimi wako
Nita zidi kukupa vitu moto moto
Mapenzi kupendana sii mchezo
Nakusihi usihi usijilezu mimi

Solema
Nahisi na mimi sisijapata ku solema
Tunavyo ishi wanandhani tunadanganyana
Sii rahisi amini mimi na wewe tukatengana

Chorus 2x
Usiende mbali nami
Mimi bado nakupenda
Usotoke mbali nami
Mimi bado nakupenda

Verse 2
Tangu niko na wew ni furaha
Kukosa tosa nikaraha
Na wewe siwezi ishi
Nakuhisi sio mbishi
Wanapiga misels kila mara
Wanatimua mavumbi sisi twala
Wanaotaka mapinduzi na mapinduzi

Hawayawezi ooh
Naumia -aaya mapenzi yanaokosanaa
Hata wivu kwani naosina roho ya chuma
Nakusihi usiniache solemaa-aa
Nahisi na mimi nisije kuwacha solema

Chorus 2x
Usiende mbali nami
Mimi bado nakupenda
Usotoke mbali nami
Mimi bado nakupenda
Usiendeeee......mimi bado

Nakupenda (2x)
Usiondoke.....mimi bado nakupenda

(2x)
Nakupenda wanipenda usijapenda
mbali nami
Usiende......mimi bado nakupenda
Usiondoke....mimi bado nakupenda

(3x)
Nakupenda wanipenda usija
penda
mbali nami

No comments:

Post a Comment

Please leave your comment here...