Pageviews

Sunday, November 17, 2013

UG Lyrics: Valu Valu - Jose Chameleone

It's Been A Long, Long, Long, Long Time,
(Paddy Producer-Audio One- Come In)

Bila Valu Valu Baby,
Naomba Mi Nawewe Tuwe,
Achana Valu Valu Darling....
Naleli Na Lelio!

Bila Valu Valu Baby,
Naomba Mi Nawewe Tuwe,
Achana Valu Valu Darling....
Je T'aime, Je T'aime, Je T'aime.

Kutoka Tulipo Kutana,
Sija Wai Kufikiria Tuta'Achana,
Lakini, Tulivopendana Hueleweki Unaniumiza Sana....Ehe,
Upendo Gani Na Sikuoni Baby?
Upendo Gani Hupatikani Darling?
Upendo Gani Huniamini Darling?
Valu,Valu,Valu, Valu Valu
Upendo Gani Na Sikuoni Baby?
Upendo Gani Hupatikani Darling?
Upendo Gani Huniamini Darling?
Valu,Valu,Valu!

Chorus

Uliemyafuta Ulisha Pata,
Anaekupenda Kweli Usiwai Kata,
Mimi Na We Twende Wote Kwote Unataka,
Tukae, Tule, Tunywe Ujue Mi Nilisha Data,
Wasikudanganye Eti Sina Uwezo,
Ninao, Na Sio Mchezo,
Mbona Kunipa Mawazo,
Hamua, Hamua, Hamua Baby,
Wasikudanganye Eti Sina Uwezo,
Ninao, Na Sio Mchezo,
Mbona Kunipa Mawazo,
Hamua, Hamua, Hamua....Valu, Valu, Valu.

Chorus

Break

Moyo Wako Ufungue,
Upendo Wa Ukweli Uje Uingie,
Nacho Omba Kama Niko Na Wewe,
Utaratibu Pekee Baby Tuendelee,
Mimi Na We.........Tuwe Wote Mileli,
Mimi Na We.........Mileli Na Mileli You Ma Baby,
Mimi Na We.........Nijali Nami Nitakujali....Ma Baby
Mimi Na We.........Tuwe Wote Mileli,
Mimi Na We.........Mileli Na Mileli You Ma Baby,
Mimi Na We.........Nijali Nami Nitakujali....
Sio Valu Valu Valu.

Chorus Till End.

No comments:

Post a Comment

Please leave your comment here...