Pageviews

Monday, November 4, 2013

UG Lyrics: Badilisha - Jose Chameleone

I got to go- badilisha
And let you go, 
Unaniumiza sana ninateseka,
Ndani moyoni mimi naumwa
I got to go- kangende
And let you go- sitaweza

Nimevumilia sana,
Hutaki change,
Naona umeshindwa,
Kubadilisha
 I got to go- kankupowe
And let you go- Mukwano onumya

Verse 1:

Pete ya harusi ninayo kidole,
Nilikupenda but baby sorry,
Utapata mwengine dont you worry.......ahaaaa
Watoto tumezaa tunao tayari,
Tulipanga mi na we mileli,
Lakini ni nini nini unanichanganya,
Maisha wote wawili tulipanga,
Shida ni nyingi hatujakosana,
Haingekua hivi unapendwa, na hupendi mpenzi tu'achane na hivyo hilivyo

Chorus

Verse 2:

Hii ni bahati unaempenda sana popote alipo,
Aitwe tapeli, hajakula za muntu anakula zake zipo,
Nipe changu na mi nikupe chako,
Kama hunipendi hili ni vako,
We got alot of issues to settle,
Pamoja tuende mu settle,
Love me baby i will love you back,
Scratch my back i will scratch your back,
Not this way unapendwa, hunipendi!

Chorus:

Break:

Tuliamua tuwe together,
Mimi na we tuwe forever,
Ahadhi yetu ya mimi nawewe na watoto wetu,
Tupambane shida zote za nyumbani tuzimalize now!

Girl, Every woman for a man,
Love me Ilove you back and that's what agwan,
Girl it's another tune done,
Mi sing a bagga tunes and this one go along,
Girl never worry about it
Every time i come with a bag of sweetness
This one paddy chameleone and the music empire

Chorus till fade

No comments:

Post a Comment

Please leave your comment here...