Pageviews

Thursday, March 10, 2011

Ug Lyrics - Sivyo Ndivyo[Jose Chameleone]

Chorus
Unavyodhani Ndivyo sivyo maisha ni safari sio kua na
(likizo)
Nalikizo yo yo!
Naongeza msistizo tena usimsahau mtu mwenye matatizo
(Mama yo yo)
Wangapi walikua nazo nasasa hawana tena wamebaki naviulizo
(Vingi Viulizo)
walioitwa maskini leo wamezipata imekua ndivyo sivyo
(Ndivyo sivyo sivyo ndivio)

Verse 1 (Professor Jay)
Eh! tusaidiane kwenya raha na shida
Usimdharau mwenye nja kwakua we umeshiba
Maisha safari ndefu sio eleweka
Leo uko hapa unalia mwenzako kule anacheka
Usimutuze tu mwenye nyumba na gari
Kumbuka umaskini na utajiri zote hadhi
Unavyodhani ndivo sivyo sivyo ndivyo
Dunia hivyo ndilivio kuna rah na matatizo
Kama leo umepewa basi mushukuru mumba
Kama umekosa ongeza bidi na sio ndumba
Mwenzio akiwa ana thama murushie kamba
Sikia kilio cha watu wazima Bongo Mpaka Uganda!

Repeat Chorus

Verse 2 (Chameleone)
Never under estimate
And learn to appreciate
No matter situation, persevere and tolerate
Don't get hooked by the bait
Life is life, no matter what the time and date
Take a little more time, sit and concentrate
It's J. Chameleone, Professor in a new duet!

Repeat Chorus

Verse 3 (Professor Jay)
Unaedhani ana afya kumbe ndio ana ngoma
Usimini kila kitu ambacho macho yaona
Wangapi wana magari na kumbe yote ya mkopo
Benki ikiwadai wanarudi kwenye msoto
Usi ishi kwenye ndoto, maisha upange wewe
Anapanga ama nani muombe ili upewe
Usimdharau mtu kwa kua yeye yuko simple
Kumbe akili yake ina nguvu zaidi ya kingkong

Verse 4 (Chameleone)
Mama yoooo!
Munno bwolaba talina muwe Plani
Tomukuba mgongo omulanga Bisiraani
Oyo gwonyoma nti talina Plani lyrics from museke.com
Ebyensi bikyuka mungu yayina Plani
Tonyoma njala gweluma talina musango
Toduulira mwavu tomukuba mugongo
Ani yali amanyi nti ndikuba ebidongo
Maisha kama kamari bora itumie ubongo!

Repeat Chorus

No comments:

Post a Comment

Please leave your comment here...